Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Heh, Umesikia Sauti ya Mungu? | Christian Movies
Swahili Christian Movie “Kubisha Hodi Mlangoni” | Heh, Umesikia Sauti ya Mungu?

Swahili Christian Movie “Kubisha Hodi Mlangoni” | Heh, Umesikia Sauti ya Mungu?WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/Ky2n1YlghkBHM7jn1mtxE7
Ikiwa una maswali, tafadhali wasiliana nasi kupitia live chat: http://bit.ly/3cN661v
Tazama zaidi:
Swahili Christian Movie “Mji Utaangushwa” http://bit.ly/2N9seIV
“Kutamani Sana” | Swahili Christian Movie http://bit.ly/2MWIbSL
Filamu za Kikristo “Wokovu” http://bit.ly/30dg8SM
Swahili Gospel Full Movie “Fichua Siri Kuhusu Bible” http://bit.ly/2ZeFEpb

Swahili Christian Movie “Kubisha Hodi Mlangoni” | Heh, Umesikia Sauti ya Mungu?
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alitabiri, “Na usiku wa manane pakawa na kelele, Tazama, bwana harusi anakuja; tokeni nje mwende kumlaki” (Mathayo 25: 6). “Tazama, nimesimama mlangoni, na kupiga yod: yangu, na aufungue mlango, Mimi nitaingia kwake, na nitakula na yeye, na yeye na Mimi” (Ufunuo 3:20). Kwa miaka elfu mbili iliyopita, waumini katika Bwana wamekuwa makini na wakingoja Bwana abishe mlango, kwa hivyo, Atabishaje mlango wa binadamu Atakaporudi? Katika siku za mwisho, baadhi ya watu wameshuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi -Mwenyezi Mungu mwenye mwili- na kwamba Anafanya kazi ya siku za mwisho ya hukumu. Habari hii imetikisa dunia yote ya kidini. Yang Aiguang, mhusika mkuu wa filamu hiyo, amemwamini Bwana kwa miongo na daima amekuwa akihusika na kazi ya kuhubiri, akingoja kukaribisha kurudi kwa Bwana. Siku moja, watu wawili walikuja na kubisha mlango, wakamwambia Yang Aiguang na mume wake kuwa Bwana Yesu amerudi, na kushiriki maneno ya Mwenyezi Mungu na wao. Waliguswa sana na maneno ya Mwenyezi Mungu, lakini kwa sababu Yang Aiguang ameona uasi, udanganyifu na vizuizi vya wachungaji na wazee wa kanisa, anawafukuza mashahidi wa Kanisa La Mwenyezi Mungu kutoka nyumbani kwake. Baada ya thread, mashahidi wanabisha mara nyingi na kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu kwa Yang Aiguang na kutoa ushuhuda wa kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Wakati huu, mchungaji anamvuruga na kumzuia Yang Aihuang, muda baada ya muda, na anaendelea kuyumbayumba. Hata hivyo, kwa kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu, Yang Aiguang anakuja kuelewa ukweli na kupata ufahamu kuhusu uvumi na udanganyifu unaoenezwa na wachungaji na wazee wa kanisa. Hatimaye anaelewa jinsi Bwana anavyobisha kwenye milango ya watu wakati wa kurudi Kwake katika siku za mwisho, na jinsi tunavyopaswa kumkaribisha Yeye. Wakati ukungu unapotanzuka Yang Aiguang hatimaye anasikia sauti ya Mungu na anakiri kwamba Mwenyezi Mungu kweli ni kurudi kwa Bwana Yesu!

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu to Mwenyezi Mungu mwenyewe to linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno and Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa the Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu and Kanisa the Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thurchurchalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
CAG Hymns – Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: + 254-700-427-192
WhatsApp: + 254-700-427-192

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Maudhui ya video hii yametafsiriwa yote na wafasiri wataalam. Hata hivyo, kutokana na tofauti za lugha nk, makosa kadhaa yaliyofanywa hayawezi kuepukika. Ukigundua makosa yoyote kama hayo, tafadhali rejea kwa toleo la kwanza la Kichina. Tafadhali jihisi huru kuwasiliana nasi.

#Yesu #BwanaYesu #swahiligospel #ChristianMovie #Injili #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #Zambian Gospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu #mahubiri

source